Mark 9:49-50

49 aKila mmoja atatiwa chumvi kwa moto.

50 b“Chumvi ni nzuri, lakini ikipoteza ladha yake utaifanyaje ili iweze kukolea tena? Mwe na chumvi ndani yenu, mkaishi kwa amani, kila mmoja na mwenzake.”
Copyright information for SwhKC